🔥 MADINI YALIYO NDANI YA SUPER GRO – PATA MAZAO MARA 3 ZAIDI KWA KUTUMIA SUPER GRO! 🔥


Super Gro ni kirutubisho chenye madini muhimu yanayosaidia kuongeza uzalishaji na kuboresha afya ya mazao yako.


🌱 MADINI YALIYOPO NDANI YA SUPER GRO


✅ Macro Nutrients (Virutubisho Vikubwa)

✔ Nitrogen (N) – 72g per litre

✔ Phosphorus (P) – 45g per litre

✔ Potassium (K) – 30g per litre

✔ Sulphur (S) – 15g per litre

✔ Calcium (Ca) – 9g per litre

✔ Magnesium (Mg) – 7g per litre


✅ Micro Nutrients (Virutubisho Vidogo)

✔ Iron (Fe) – 5mg per litre

✔ Iodine (Iod) – 3mg per litre

✔ Marine Salt (MS) – 1mg per litre

✔ Zinc (Zn) – 1mg per litre

KAZI KUU ZA SUPER GRO


🌊 1. Husaidia udongo kutunza unyevunyevu kwa muda mrefu

Super Gro huvunjavunja uzio wa maji na kuruhusu kupenya hadi tabaka la tatu la udongo, hivyo mimea hupata unyevu wa kutosha hata wakati wa kiangazi.


🌽 2. Huongeza uzalishaji wa mazao kwa wingi na ubora

Kwa kutumia Super Gro, mazao yako kama mahindi 🌽, mpunga 🌾, mboga za majani 🥬, nyanya 🍅, vitunguu 🧅, pilipili hoho 🫑 na mengineyo huzalisha mara 3 zaidi kwa ubora wa hali ya juu.


🌿 3. Husaidia mimea kufyonza virutubisho kutoka kwenye udongo

Hufanya mizizi ya mimea kama maharage 🫘, kunde 🌿, viazi 🥔, mihogo 🍠 kupenya hadi tabaka la tatu la udongo na kufyonza virutubisho vyote muhimu, hivyo kufanya mimea kuwa imara na yenye afya.


🦟 4. Husaidia dawa za wadudu kufanya kazi kwa ufanisi zaidi

Super Gro hufanya dawa kutositiririka (Sticker), hivyo kuongeza ufanisi wake na kupunguza gharama za ununuzi wa dawa za wadudu kwenye miti ya matunda 🍏, mboga 🥦 na mazao mengine.


💰 5. Inapunguza gharama za mbolea hadi nusu

Kwa kutumia Super Gro, unahitaji kiasi kidogo cha mbolea lakini unapata mavuno mengi zaidi kwa mazao kama ngano 🌾, mahindi 🌽, chai 🍵, kahawa ☕, na miwa 🎋.


🌳 6. Hufanya mimea kuwa na rangi halisi ya kijani

Mimea yenye kijani kibichi ina uwezo wa kujitengenezea chakula chake kwa ufanisi zaidi, hivyo kukuza mazao yenye afya bora.


🛡 7. Haina sumu na haiharibu udongo

Super Gro ni salama kwa mazingira na afya yako. Unaweza kupulizia asubuhi na jioni ukaweza kula mazao yako bila madhara yoyote.


🍎 8. Huongeza uzalishaji wa matunda na kuzuia maua kupukutika

Husaidia miti ya matunda kama maembe 🥭, machungwa 🍊, parachichi 🥑, mapera 🍐, mikorosho 🌰 kutoa mazao mengi, yenye ukubwa sawa na uzito mzuri.


🥔 9. Huongeza uzito wa mazao

Mazao kama viazi 🥔, mahindi 🌽, kabichi 🥬, nyanya 🍅, pilipili 🫑, kahawa ☕, chai 🍵, maharage 🫘, kunde 🌿 yanakuwa na uzito mkubwa na ubora wa hali ya juu.


💥 USIKOSE KUBORESHA KILIMO CHAKO KWA SUPER GRO!

⚡ Pata mavuno mengi na bora kwa gharama nafuu!

📞Pg au whatsapp 📱0695270810 

Weka oda yako sasa!


🔥 Super Gro – Suluhisho La Kilimo Chenye Tija! 🔥✍️✍️