UMUHIMU WA KUTUMIA SUPER GRO 

👉🏼Mkulima anapotumia super Gro mbolea hupenya hadi kwenye tabaka la tatu

👉🏼Super Gro imetengenezwa na vinyesi vya ndege mbalimbali ambavyo vina madini kamili kama naitrojen 

👉🏼Inazuia fangasi na ukungu kwenye mimea

👉🏼Inaongeza uzalishaji na ubora wa Mazao

👉🏼Kufanya mimea kuwa na rangi halis ya ukijani 


Inakuhakikishia mavuno bora na yenye ubora wa hali ya juu


🌱 Super Gro - Siri ya mafanikio ya mkulima wa kisasa wasiliana me whatsapp au pg📞 0748168498