𝗞𝗪𝗔𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗘 𝗠𝗕𝗢𝗟𝗘𝗔 𝗬𝗔 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗚𝗥𝗢?

• Inarutubisha ardhi. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubisho vingi.

• Inasaidia maua yasipukutike na upepo hivyo kuongeza mazao kwa wingi.

• Inasaidia viuwatilifu kufanya kazi vizuri.Kwani supergro ni kama gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa kuuwa wadudu kwa urahisi zaidi.

• Huleta na kuongeza ukijani katika mimea hivyo kufanya mimea iweze kujitengenezea chakula.

• Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa.

• Husaidia mazao kukua kwenye kimo kimoja.

• Inazuia fangasi au ukungu kwenye mimea.

• Inaongeza mavuno na ukubwa wa matunda kwa asilimia zote 

• Huongeza uzito wa mazao kama mapapai,maembe,maparachichi, maharage,kunde,mahindi,mapera,karoti,hoho na mengineyo.

• Inaongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu.Hivyo hata jua likiwa kali sana bado mimea yako itakuwa imara na haitasinyaa kamwe.

• Inalinda ladha halisi ya tunda.Ladha ya tunda inakuwa tofauti sana na tunda ambalo halikulimwa na supergro.

• Kuimarisha mazao na kuyasaidia yasiliwe au kubunguliwa na wadudu.

ONGEZA MAZAO YAKO SASA

KUPATA super GRO ORIGINAL Nipingie au whatsapp 0748168498 📞